Huyo Moise nae ni fisadi mwingine tu dhahabu ya Kongo pekee ikisimamiwa vizuri ni utajiri tosha Kongo inadhahabu nyingi sanaaHii ni kweli kabisa
Hivi umeelewa vizuri sio kwamba waachane na dhahabu ila tuachane na ile akili ya kuamini dhahabu ndo utajiri pekee wakongoHuyo Moise nae ni fisadi mwingine tu dhahabu ya Kongo pekee ikisimamiwa vizuri ni utajiri tosha Kongo inadhahabu nyingi sanaa
Pengine hawaoni maana yoyote kuwekeza kwenye kilimo na hasa wakiwaangalia Majirani zao kina TZ na wengine ambao wamewekeza kwenye kilimo na hakuna hatua yoyote waliyopiga kuwazidi.Ni kweli ni wakati sasa Kongo kujikita kwenye sekta za kilimo na shughuli zingine siyo akili imelala kwwnye dhahabu tu wakati wana maeneo makubwa yenye rutuba.
Mapigano yana sababishwa na nini ?Kila siku watu wanakimbia mapigano(vita), hicho kilimo watakifanya saa ngapi
Umeelewa kauli yake ??? Au umekoment tuHuyo Moise nae ni fisadi mwingine tu dhahabu ya Kongo pekee ikisimamiwa vizuri ni utajiri tosha Kongo inadhahabu nyingi sanaa