Habari wanajamvi.
Ninauza moisture meter ya kisasa ya kupima nafaka.
Inafaa kwa wafanyabiashara wa nafaka, wakulima na vyuoni kwa ajili ya ya kujifunza.
Ina accessories zote pamoja user manual
Kwa anaehitaji tuwasiliane 0673229342.
Karibuni sana
.
View attachment 521934View attachment 521935View attachment 521937