Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako..

Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana mdogo wake wa kike.

Huyo mdogo wake wa kike ni wale wanawake wanaoitwa " machafuchafu" kichwani alikuwa saa mbili kasorobo.

Sometime no sometime yes.

Wanaume walikuwa wanamzalisha ovyo ovyo mpaka familia yake wakamfunga kizazi. ( Yani Ni kama mwendawazimu vile / so alikuwa anazalishwa na aina ya wanaume wanao wazalishaga vichaa)

Kuoga mpaka dada zake wamkamate Kwa nguvu..

Huyu alikuwa akikutana Na Mimi ananiita shemeji. Mara nyingi alikuwa anakutana Na Mimi nikiwa Na dada Ake.

Sikuwa Na jinsi Zaidi ya kumuita shemeji Na Mimi japokua ndani ya nafsi yangu sikuwa nikipendezwa na Jambo Hilo.

Damu nzito kuliko maji sikutaka kumuonyesha dada MTU ( ex wangu ) kwamba nilikuwa sipendezwi kuwa around mdogo wake huyo Kwa Sababu sikutaka kuumiza hisia zake so nikawa najikaza hivyo hivyo ingawa moyoni nilikuwa sipendezwi kabisa kuwa around mtu huyo au kulazimika kumuita shemeji or something..

( sikuwa namchukia ila nilikuwa sipendezwi nae .

I was not comfortable to be around her or to reffer to her as shemeji)

Nilivyo break up na huyo mdada Hali hii ilistop . Siku pretend Tena. It was four years of captivity...
 
Mimi kuna kademu nimeachana nako aisee najihisi nimetua mzigo mkubwa sana. Ulishakutana na hivi videmu ambavyo mda wote vinataka kuchati na kakituma msg hujajibu dakika mbili utasikia "baby mbona upo slow ivyo?" Yani mi nikiandika msg moja yeye kashatuma tano!

Tangu niachane nako wiki mbili sasa naona na afya inarudi, naanza kufanya mambo ya maana napata hata mda wa kupost humu jeiefu bana..
Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako..
 
😂😂😂😂
Mimi kuna kademu nimeachana nako aisee najihisi nimetua mzigo mkubwa sana. Ulishakutana na hivi videmu ambavyo mda wote vinataka kuchati na kakituma msg hujajibu dakika mbili utasikia "baby mbona upo slow ivyo?" Yani mi nikiandika msg moja yeye kashatuma tano!

Tangu niachane nako wiki mbili sasa naona na afya inarudi, naanza kufanya mambo ya maana napata hata mda wa kupost humu jeiefu bana..
 
Mimi alikua ananipigia simu muda wowote hata saa 8 usiku akiamka usingizi umemuishia ananipigia

[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Mimi baada ya kuachana na lile pepo naona hata nimenona na furaha yangu imerudi maradufu, Jeeez'...!

Kuna taqataqa tunazing'ang'ania ila tukizishusha mpaka baraka zinakushukia na mambo yako yanaanza kukuendea..! Ahsante Bwana Yesu aiseeeh'..!!
 
Mimi baada ya kuachana na lile pepo naona hata nimenona na furaha yangu imerudi maradufu, Jeeez'...! Kuna taqataqa tunazing'ang'ania ila tukizishusha mpaka baraka zinakushukia na mambo yako yanaanza kukuendea..! Ahsante Bwana Yesu aiseeeh'..!!
Kabisaa yaani!uko sahihi kuna watu ni gundu tu kua nao!tunaziba baraka na mifereji ya neema kupita kwetu.
 
Mimi baada ya kuachana na lile pepo naona hata nimenona na furaha yangu imerudi maradufu, Jeeez'...! Kuna taqataqa tunazing'ang'ania ila tukizishusha mpaka baraka zinakushukia na mambo yako yanaanza kukuendea..! Ahsante Bwana Yesu aiseeeh'..!!
Hahahaha.
 
Ameeen Ameeen wa kwetu
 
Back
Top Bottom