humphrey_on_th_forum
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 278
- 233
Hello team,
Moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimeshuhudia mikataba inayoandaliwa na wamiliki wa nyumba za kupanga wakiandaa mikataba ambayo ni mibaya, kandamizi na yenye kukomoa utadhani wamelazimishwa kupangisha vyumba.
Je, wizara inayohusika na makazi, kwa nini isiingilie kati suala la kuandaa mikataba kwa wapangaji?. Ni vyema mikataba hiyo iwe rafiki na isiwe ya kionevu kama baadhi ya mikataba inayotumiwa na wenye nyumba.
Nakala niliyoiambatanisha ni mfano wa moja ya mkataba kandamizi kutokana na masharti yaliyopo kwenye mkataba huo.
Nawasilisha