humphrey_on_th_forum
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 278
- 233
Namshangaa anakuja kulialia hapa,,,,, Kuna nyumba wewe mwenyewe unakimbia unaacha kodiKajenge nyumba yako hauto kumbana na iz kasumba unazo sema ni mikataba mibovu
Ngoja nikutonye huu mkataba mbona mzur sana huu katafute mkataba wa ununuz wa ndege
Bila shaka mkuu nimetoka kuchukua mkopo bank kwa kutumia hicho kitambulisho.Samahani hiv kwa hilo sharti namba 1 si naweza tumia kitambulisho cha mjasiriamali. Maana ni kitambulisho cha machinga hicho kuingia sokoni kuuza bidhaa
Sidhani Kama Ni kweliBila shaka mkuu nimetoka kuchukua mkopo bank kwa kutumia hicho kitambulisho.
Kwahiyo matumizi yake yanarandana na cha taifa. Ila hiki ni zaidi. Maana chenyewe ni mali isiyo hamishika(kinahesabiwa hivi na mabenki).[emoji23]
Bujibuji ndugu YANGU,shida za dunia.Humu jukwaani kuna nyumba zinajengwa hadi kwa milioni na nusu, mnakwama wapi hadi leo hujajenga hata nyumba ya laki tatu?
Sawa Mimi huniamini mkuu wa nchi je? Mbona siku hizi imekua kawaida tu.
Chai tangawizi[emoji16]Sawa Mimi huniamini mkuu wa nchi je? Mbona siku hizi imekua kawaida tu.
Pita bank kachukue mkopo mkuu
Hahaaaa, Akili za bujibuji duu!Humu jukwaani kuna nyumba zinajengwa hadi kwa milioni na nusu, mnakwama wapi hadi leo hujajenga hata nyumba ya laki tatu?