Kop0
Member
- Oct 6, 2021
- 76
- 111
Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia maokoto japo kidogo. Hapa utapata chance ya kumeet new friends toka mataifa mbalimbali.
Kama unapenda kuangalia video fupi zenye ujumbe mzuri au kujifunza jambo flani basi app hii ni bora kabisa. Uwezi kuta mambo ya kijinga ambayo hayana msingi.
Kama unapenda kuangalia video fupi zenye ujumbe mzuri au kujifunza jambo flani basi app hii ni bora kabisa. Uwezi kuta mambo ya kijinga ambayo hayana msingi.