Moja ya gari la kifahari lilitumika kukusanya taka

Kuna habari kuwa kampuni iliyokuwa ikizalisha magari hayo ya kifahari walimkosea heshima mtawala wa india miaka hiyo ndipo na yeye akayanunua magari hayo mengi kutoka kwenye kampuni hiyo na kuyatumia kufanyia usafi mitaani, aliyatumia magari hayo kwa kufagia na kukusanya taka nchini india hadi pale kampuni hiyo ilipomuomba msamaha
 
Na ilimpa gari zingine 6 ili wapewa msamaha....na sasa ni moja ya kampuni kubwa ya magari ya kifahari duniani yenye jina la yule mbabe wa bongo fleva
 
Na ilimpa gari zingine 6 ili wapewa msamaha....na sasa ni moja ya kampuni kubwa ya magari ya kifahari duniani yenye jina la yule mbabe wa bongo fleva
Kumbe tuko pamoja, jamaa walipata funzo sana na kuanzia hapo hawakudharau tena wateja wao.
Naomba kumjua huyo mbabe wa bongo flavour maana hilo gari ni Rolls Royce.
 
Kumbe tuko pamoja, jamaa walipata funzo sana na kuanzia hapo hawakudharau tena wateja wao.
Naomba kumjua huyo mbabe wa bongo flavour maana hilo gari ni Rolls Royce.
Platinum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…