Moja ya jambo gumu katika maisha ya binadamu ni kuaminiana

Kila mtu anajambo analoliwaza moyon mwake, na hakuna anayeweza kuona moyon mwa mwingine na kujua anawaza nini, laiti ungekuwepo uwezekano wa kuona mawazo ya moyo wa mwingine tungeaminiana.
 
tatizo ni pale mpenzi mmoja kijulikana kwa mwenzie kamdanganya kitu hata iwe kidogo
 
Kila mtu anajambo analoliwaza moyon mwake, na hakuna anayeweza kuona moyon mwa mwingine na kujua anawaza nini, laiti ungekuwepo uwezekano wa kuona mawazo ya moyo wa mwingine tungeaminiana.

kweli kabisa. Natamani
Moyo ungekuwa na kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…