Alex Fellar
New Member
- Aug 27, 2022
- 2
- 1
Alex Fellar
Ndiomaana mtume Paulo aliwa tahadhirisha Wakristo kuwa juu ya neema hiyo wasijisifu badala yake waogope [WARUMI11:24-25]. Kwa maana alisema 'Kama hakuwaachia Israel aliowapenda, sembuse ninyi? [WARUMI11:17-22].
Hivyo uhuru wa Kristo kati yetu sii kusema tu tupo chini ya neema bali ni kujitenga na Kila aina ya dhambi [WARUMI6:16-18].
Ndipo unakumbuka sasa pale maandiko yaliposema 'Wala msiifuatishe namna ya dunia hii bali mkajitenge na kila aina ya ubaya' [1THETHALONIKE5:22].
Ni muhimu kujua watu wa mataifa ingawa hawaijui Biblia lakini wanajua ni kipi hakifai mbele za Mungu, ndiomana wanajua kuua ni dhambi, kuiba ni dhambi,, kuzini ni dhambi nk lakini ukiwaambia maandiko hawayajui.
Hivyo Wakristo wote wanapaswa kujua tunatambulika tumeokoka kweli kweli kwa matunda yetu ya nje ambayo watu huyaona kwetu nasii mambo ya ndani ambayo mtu wa nje hawezi kuyaona.
Ndiomana Wayahudi walimjua Petro ni mwanafunzi wa Yesu kwa matendo yake tu ya nje [MATENDO26:69-73].
Biblia imetuasa tuwe barua inayosomeka na wengine [2WAKORINTHO3:2-3].
•Katika mionekano yetu [MATHAYO26:69-73].
•Katika mavazi yetu [MWANZO38:15].
•Katika kuongea kwetu [WAKOLOSAI4:6].
•Katika matendo yetu [WAEFESO2:10].
•Katika maisha yetu [ZABURI10:27].
1. Hivyo Uhuru tulionao katika Agano la Neema ni uhuru
juu ya kumuhubiri Kristo Yesu [1WAKORINTHO1:23;WAFILIPI1:15-18;MATENDO5:42;2:36;8:5;18:5;18:28;17:3;1WAKORINTHO15:12;WAEFESO3:8;WAFILIPI1:15;1:17;1:18;2WAKORINTHO4:5;WAKOLOSAI1:28].
2. Uhuru tulionao katika Agano la Neema ni uhuru
juu ya toba na msamaha wa dhambi [WAEFESO5:11;1TIMOTHEO5:20;2TIMOTHEO4:2-4;EZEKIELI3:18;2TIMOTHEO4:2;1WAKORINTHO6:9;2YOHANA1:9-11;WAKOLOSAI1:28;UFUNUO3:19;WAGALATIA2:11-14;WARUMI12:1-2].
3. Uhuru tulionao katika Agano la Neema ni uhuru wa
kuwafanya watu kuwa wanafunzi [MATHAYO28:19-20;MARKO16:15;WARUMI10:14-15;TITO2:3].
4. Uhuru tulionao katika Agano la Neema ni uhuru juu ya kuhubiri kweli [MARKO16:15;2TIMOTHEO2:24-26;WARUMI1:16;MATENDO10:42;MATHAYO28:19-20;10:7;2TIMOTHEO4:12;1WAKORINTHO15:1-4;YOHANA21:15-17;MATHAYO24:14;LUKA4:43].
5. Uhuru tulionao katika Agano la Neema ni uhuru wa kukemeana kukalipia juu ya mafundisho ya uongo [UFUNUO2:14-15;MATHAYO5:19;2WATHETHALONIKE2:1-2;1TIMOTHEO4:1-3;UFUNUO2:20;MARKO7:7;ISAYA29:13;WAEFESO5:6;WAKOLOSAI2:20-23;2PETRO2:1;MATHAYO7:15;MATENDO20:30].
Wapenzi imeandikwa [WARUMI6:17-18] "Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mlitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake, ¹8 na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mkawa watumwa wa haki".
Mungu Awabariki mtafakaripo ujumbe huu!!
Mungu Awabariki
(Bible Scholar)

Upvote
0