Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

Mtu wa kwanza kutekwa nayemjua mimi ni Ulimboka, Daktari wa Muhimbili. Utekaje ukaendelea hadi leo, nachoshangaa watu kama nyie mnakujaga kuosha kuwa CCM ipi ilikuwa nzuri, huu ni upuuzi mtupu; CCM haifai kabisa, ni Mafia tupu; hamna kizuri wanachokielewa.
 

Unashauri kitu gani sasa?
 
Utekaji haukuanza awamu ya tano na haukuishia awamu ile. Ni basi tu wakuza mambo wakambwagia kila kitu jiwe. Ila kwa saiv kila jambo anatafutwa wa kubebeshwa lawama badala ya bi chura
 
Kiongozi wa awamu ya tano aliefariki ni mmoja. Hao wa awamu unayoiita ya sita ndo walewale waliokuwemo kwenye awamu ya tano unadhani watafanya mambo tofauti na ya awamu iliyopita? Usikute watekaji wa awamu ya tano ndo hao hao wanafanya utekaji na awamu ya sita
 

Sàhihi
Kila awamu ina namna yake ya kuongoza ndio maana nikaitaga awamu ya tano.

Mtawala anachangia kwa kiasi kikubwa muelekeo wa taifa kwa wakati anaotawala
 
Sàhihi
Kila awamu ina namna yake ya kuongoza ndio maana nikaitaga awamu ya tano.

Mtawala anachangia kwa kiasi kikubwa muelekeo wa taifa kwa wakati anaotawala
Ni sawa ila huyu wa awamu hii ameonyesha udhaifu mkubwa. Matukio ni mengi ni vile tu watu hawayavumishi kama kipindi cha Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…