Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi. But kupanda kwa maisha,mafuta,chakula waachane navyo. Mimi habari za Magufuli ziwe nzuri au mbaya zimenichosha.