Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ulitakiwa ufutwe wewe ila umeachwaMods futa rubbish kama hizi zinadhalilisha JF!
Wajinga mnazidi kuongezeka kwa kasi kubwa1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi. But kupanda kwa maisha,mafuta,chakula waachane navyo. Mimi habari za Magufuli ziwe nzuri au mbaya zimenichosha.
Na wapumbavu ndo mmetamalaki kabisa....Wajinga mnazidi kuongezeka kwa kasi kubwa
1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi. But kupanda kwa maisha,mafuta,chakula waachane navyo. Mimi habari za Magufuli ziwe nzuri au mbaya zimenichosha.
Hawezi tena zungumzia hayo.Ndiyo maana sijamsikia Mbowe akizungumza kwa msisitizo wowote kuhusu kupanda kwa bei za bidhaa, kuongezeka kwa kasi kwa deni la Taifa, Yeye yuko busy na Magufuli tu
Kwani wewe nani amekunyima kuanzisha chama chako na kupiga kelele pale ambapo unaona akila lema na mbowe wamepwaya?1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi. But kupanda kwa maisha,mafuta,chakula waachane navyo. Mimi habari za Magufuli ziwe nzuri au mbaya zimenichosha.
Nitajie faida 3 tu za uongo tangu uanze hiyo tabia mbaya1. Lema
2. Mbowe
3. Lissu huyu bado ana ukaidi anasema yeye hawataweza mzuia so atashiriki tu.
Ila Lema na Mbowe wao wameelewa somo kuwa sasa ni mwendo wa praise and worship tu kama ilivyokuwa kwa Sukuma Gang sasa ni M. Gang.
Kwenye majukwaa wanatakiwa wawe wanazungumzia tu awamu ya 5 basi. But kupanda kwa maisha,mafuta,chakula waachane navyo. Mimi habari za Magufuli ziwe nzuri au mbaya zimenichosha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitajie faida 3 tu za uongo tangu uanze hiyo tabia mbaya