Athari za mama kumfundisha mtoto maji kuita mma,kikombe kuita kitombe huwa zinakuja kujulikana badae.Hivi yale magari ya kitoto hayatusaidii
UwiiiiiAthari za mama kumfundisha mtoto maji kuita mma,kikombe kuita kitombe huwa zinakuja kujulikana badae.
Hayatusaidiii mkuu
Daah ebwanae kweli kagari kangu ka uzeeni nikipeleke hukoWatanzania tunaanza kuendesha magari tukiwa na ndevu wengine hadi wapate kiiinua mgongo sasa tutaupendaje huo mchezo
Moyo au pesa?Inahitaji moyo sana kushiriki huo mchezo
Umeongea ukweli mtupu mkuu.Ni raha sana kuingia kwenye mashindano haya ya magari. Ukiwa na control nzuri na ukijua namna ya kuchezea gari katika njia zote utashinda sana mithili ya kina Michael Schumacher. Lakini nadhani watanzania walio wengi hawapendi sana michezo ya aina hii wanaoshiriki wengi wana asili ya Asia.. we unadhani kwa nini!?
Naupenda sana mchezo huu sema .......!!!