Moja ya Sababu zinazopelekea mkulima kuangukia pua kwa kilimo cha mwanzo

Nyongeza. Pamoja na sababu zilizoainishwa sababu kuu kwa upande wangu ni kukosa maarifa sahihi juu ya zao husika. Mf. Msimu sahihi, magonjwa, aina ya udongo nk.
 
watu wa kujali kazi za wenzao ni wachache sana .... ndiyo maana watu husema uchungu wa mwana hanaujua mzazi
 
Hahahahaha dah mkuu kama unaniona vile! Mi ndo mara yangu ya kwanza kulima ufuta, nikaanza na ekari mbili. Nikawa nalima kwa simu. Nimeamua kuachana na kufuatilia maana nimeambiwa mazao yameharibika...siwezi kuongeza gharama kwenda shamba kukagua wakati naona nshapata hasara tayari
 
Kulima ni kupoteza muda na ni wendawazimu. Nasema hivi nikiwa namaanisha nisemacho. Huko ni kwenda kujitia wazimu wa waziwazi.
 
Shukran kwa ukumbusho mkuu, December nitakua Shambani kwangu nikishuhudia upandaji wa miche
 
Kulima ni kupoteza muda na ni wendawazimu. Nasema hivi nikiwa namaanisha nisemacho. Huko ni kwenda kujitia wazimu wa waziwazi.
Sasa wote tukisema hivi mkuu utaishi kweli. Maana unaongea saiv kwa kuwa umeshiba kupitia hiko kilimo unachokiita uwendawazimu.
 
Sasa wote tukisema hivi mkuu utaishi kweli. Maana unaongea saiv kwa kuwa umeshiba kupitia hiko kilimo unachokiita uwendawazimu.

Tunazungumzia kilimo kama sehemu ya kujikwamua kimaisha na sio kushibisha tumbo kwani chakula changu naweza kujilimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…