Moja wapo ya siri kuu sana ya vita vikuu vya kwanza na vya pili vya dunia, ili kuwa ni kutengeneza njia ya kuunda taifa la Israel la siku hizi.
Kabla ya WW I Ottoman empire ilikuwa ina dhibiti waarabu pamoja na mji wa Jerusalem.
Baada ya WW I waingereza wali udhibiti mji wa Jerusalem na nchi ya Israel, ambayo ilikuwa inaitwa Palestine. Palestine ni neno la kigiriki liki maanisha Philistine.
WW II ilikuwa mataifa ya kizungu ya kikatoliki yana jaribu kuuchukua mji wa Jerusalem kutoka kwa waingereza.
Huku mataifa ya kiprotestanti yaki pigana ku endelea kuudhibiti mji wa Jerusalem.
Mataifa ya kiprotestanti yalikuwa UK, USA, Canada, Australia (Anglo saxons), wakiongozwa na viongozi wao ambao wengi wao walikuwa freemasons.
Mataifa ya kikatoliki yalikuwa Ujerumani, Austria, Italy, Spain, Croatia. Yaki shirikiana na majesuits.
Of course kulikuwa na mambo ya kitaifa/kisiasa ambayo yali water down haya mambo ya kidhehebu during WW II.
Ingawa Ujerumani ina waprotestanti wengi; iki unganishwa na Austria (kama alivyofanya Hitler), idadi ya wakatoliki ina karibiana na ya waprotestanti (ingawa haiwazidi). Na Hitler ali wa neutralise kisiasa waprotestanti wa ujerumani, kwa kuwa shawishi wapende extreme nationalism. So Ujerumani ya Hitler ilikuwa inatekeleza sera za Hitler.
Ufaransa ina over whelming majority ya wakatoliki na wengi wao wakiwa secular. Waprotestanti wa ufaransa walikufa au kuikimbia nchi yao enzi za zamani sana za St Bartholomew massacre. Na mapinduzi ya Ufaransa yaliwafanya wakatoliki wengi wa Ufaransa kuwa secular.
Kwenye WW II freemasons wa ufaransa walikuwa upande wa USA na UK. Huku majesuits wa ufaransa wakiwa pamoja na Hitler.
Baada ya vita hivi taifa la kisasa la Israel liliundwa 1948. Taifa hili ni tofauti na lile la enzi za biblia.