Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.

TT_53_480x480.jpg
TT-77._480x480.jpg
UbongoKids_Bike.jpg
 
Back
Top Bottom