Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.