Niliona bwana mdogo aliandika uzi mmoja kihuni asubuhi baada ya ku report ukatolewa. Narudia mimi siyo fyatu. Ni mmoja ya watu wachache sana wenye akili humu ndani.
Michango yangu mara nyingi imetumika na wasomi na viongozi mbalimbali katika nchi kwa manufaa ya nchi. Ni vile tu sipendi kujionesha onesha. Azawaizi nlitakiwa nikaishi nchi za watu.
Na michango yangu nlipaswa nilipwe kabisa. Basi tu sina njaa