rosita
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 509
- 469
0762272139 anaitwa juma koja kwa number ya usajili wa mpesa na mwenzake 0755687591 wanasema wanatoka jam moters ya zanzibar na wanapenda sana kipost picha za vits zisizosajiliwa tupatane.com na kwa bei chee ili wakuchanganye..kwa vits wanasema 3.5m so ukiwasiliana nao wanakuambia mchakato mzima na na kukuhakikishia kupata hizo gari kwa bei isiyozidi 4.5m coz wanapitishia bandari ya tanga na huko ndo wanadai wana jamaa zao tra so inakuwa easy kufanya deal..na wanasema usitume pesa yoyote mpaka gari lije kwako ndo utawapa..on process wanakuomba deteals zako kama tin number kwa ajili ya clearance na picha...ukiwatumia baada ya siku moja wanakuscania hati original yenye details zako ya kusafirisha gari from tra na hapo sasa wanakuomba wamekwama kitu kuna mtu anataka 500000 ili akamilishe clearance...kwa vile kashakuaminisha na hizo doco na close communication unajikuta unaingia mkenge kumtumia and baada ya hapo hawapatikani hewani....niliwahi kutapeliwa last month na hawa watu so kuweni makini sana wana jf....tunajifunza kutokana na makosa namshukuru Mungu gari nimeshanunua kwa mtu na lipo vizuri tu lkn hawa jamaa nawatafuta kwa udi na uvumba...kitu kingine nilichojifunza ni kutopenda shortcut katika biashara na mtu mwenye shortcut muogope sana.....