Mojawapo ya kazi unazoweza kufanya dubai!!

Mojawapo ya kazi unazoweza kufanya dubai!!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
article-1285791829761-0B65DB1F000005DC-289518_636x300.jpg

dubai-window-cleaner-26410767.jpg
pencil.png
 
Ilimradi haibi sio mbaya kila mtu anakula kwa jasho lake!:llama:
 
MBONA USALAMA HAKUNA HAPO, ALITAKIWA KUWA KWENYE CONVEYER.........HIYO NI HATARI TUPU KWA KWELI..

ila Maria Rose nimependa hicho kiswala kinacho cheza cheza hapo juu...

Ilimradi haibi sio mbaya kila mtu anakula kwa jasho lake!:llama:
 
Mambo yenyewe kama ndio hivi bora nirudi kwetu kikalime.
 
kaka nami nipo huku,wahindi na jamaa wengine wa asia wanahenyeshwa vilivyo,kila siku wengi wanakufa makazini lakini falme ya kiarabu ni wazuri sana wa kucheza na media...mishahara sasa mh...
 
Hili jengo ni mfano wa bad architecture.Majengo yote marefu kama haya yanatakiwa kuwa anchorages or other devices kwenye roof kwa ajili ya suspended equipments kama bosun's chair,single work cage or platform. Pia wangeweza kuweka windows ambazo kuzizungusha OUTSIDE kuwa INSIDE

Huko Dubai inaonyesha ujenzi wao hauna tofauti na kule Kariakoo mradi jengo lisimame mambo mengine mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom