Hili jengo ni mfano wa bad architecture.Majengo yote marefu kama haya yanatakiwa kuwa anchorages or other devices kwenye roof kwa ajili ya suspended equipments kama bosun's chair,single work cage or platform. Pia wangeweza kuweka windows ambazo kuzizungusha OUTSIDE kuwa INSIDE
Huko Dubai inaonyesha ujenzi wao hauna tofauti na kule Kariakoo mradi jengo lisimame mambo mengine mbele kwa mbele.