Mojawapo ya misingi ya dira 2050 ni demokrasia, haki na uhuru. Kwa namna hii tutafika?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT.

Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
 
Gentleman,
mshukiwa yeyote wa uhalifu humu nchini, atakamatwa at any time regardless of yeye ni nani.

Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni pamoja na kutokomeza kila aina ya uhalifu nchini 🐒
 
Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT.

Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
Kufika hapa hamna zaidi tutaliwa na fisi kabla ya kufika safari hii!
 
Kwa sasa, hakuna adui mbaya kabisa kwa ustawi wa Watanzania, kuizidi CCM na watu wake. Hawa ndiyo wanaoteka na kuua, hawa ndio wanopora uchaguzi na kuua wanaohoji, hawa ndio mafisadi wakubwa, hawa ndio wanaouza rasilimali za nchi kwa wageni kwa manufaa binafsi.
 
Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT.

Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
Mjane wa Marehemu shetani lenu la Chato wajitahidi..
Enzi lile shetani lenu la Chato linaua Demokrasia ulikuwa wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…