Moldova yaungukia Umoja wa Ulaya(EU) kwa hofu ya Urusi

Moldova yaungukia Umoja wa Ulaya(EU) kwa hofu ya Urusi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Moldova taifa dogo lilo kati ya Ukraine na Romania limeungukia umoja wa ulaya(EU) likiitaka jumuiya hiyo kwa msisitizo mkubwa sana kuharakisha kupokelewa kwa maombi yao ya kujiunga katika umoja huo.

Taifa hilo linaamini kuingia katika Umoja wa Ulaya itakuwa ndio salama yake dhidi ya kitisho cha uvamizi na vurugu za uasi kutoka Urusi. Taifa la Urusi linaunga mkono uasi katika jimbo la Transnistria ambalo lilijitangaza kujitenga na Moldova lakini bado linatambuliwa na jumuiya ya kimataifa kama bado ni sehemu ya Moldova.
 
Hii inaonesha jinsi Urusi alivyo powerful, ili kumkabili watu wanakimbilia EU na NATO.
 
Maajabu haya duniani,hao anaowaomba msaada washatumbukia kwenye shimo reeeefu.

Dj Putin walete!!!
20230411_222939.jpg
 
nato wanataka kuizunguka kalinngrad ....sasa urusi lazima aidondokee moldovani ili kupata njia ya kuiendea kaliningrad..
 
Kizazi na Historia itakuja mlaamu sala Zelensky...alivyoitumbukiza nchi yake na anavyotumika na USA + west.

Anabaki tu akizurura ulaya ...ni kama Russia ameamua kuharibu infrastructure za Ukraine...
 
Kizazi na Historia itakuja mlaamu sala Zelensky...alivyoitumbukiza nchi yake na anavyotumika na USA + west.

Anabaki tu akizurura ulaya ...ni kama Russia ameamua kuharibu infrastructure za Ukraine...

Well as if russia wana haki ya kuvamia nchi nyingine na kuwachagulia marafiki. Russia si msafi pia kwenye hili
 
Kizazi na Historia itakuja mlaamu sala Zelensky...alivyoitumbukiza nchi yake na anavyotumika na USA + west.

Anabaki tu akizurura ulaya ...ni kama Russia ameamua kuharibu infrastructure za Ukraine...
Zelensky na Ukraine wameingiaje kwenye uzi mbona naona uzi umetaja Moldova na Russia
 
Kizazi na Historia itakuja mlaamu sala Zelensky...alivyoitumbukiza nchi yake na anavyotumika na USA + west.

Anabaki tu akizurura ulaya ...ni kama Russia ameamua kuharibu infrastructure za Ukraine...
Hv una akili timamu wewe ? Ndio maana Afrika hatupig hatua tuna mijitu ina akili za kishoga yaan umevamiwa na unataka ampe na tackle kbs ? Watu weus bure kbs
 
anakwambia its not the second wakati nchi yake imechakazwa yamebaki magofu. ana akili huyu? wanashindwa kumtumainia Mungu wanaitumainia NATO na MAREKANI.
Kwahyo sisi ni 2nd maana tuliipiga uganda
 
Back
Top Bottom