kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Midadi ya kucheza na moyo wa wa kupenda kuisadia timu yake ipate matokeo dhidi ya Biashara United kupitia mchango wake ndicho hasa kilichosababisha David Molinga aonyeshe kukerwa na kutolewa uwanjani na kocha wake. Hasa kutokana na mchango wake kwenye mechi zilizotangulia. Hamaki kama hizi ziko hata kwa wachezaji wakubwa huku ulaya.
Tumsamehe tu kwakuwa nia yake haikuwa mbaya hasa kutokana na kuipatia Yanga matokeo kwenye mechi zilizotangulia. Hivyo aliamini hata kwenye mechi Ile angeweza kuisadia pia lakini alisahau kuwa kocha ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kuhusu nani atoke na nani aanze mechi.
Kusamehe ni kuonyesha ukomavu na kamwe sio udhaifu