Elections 2010 Mollel wa CHADEMA amtoa kamasi Lowassa

Tonge

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
695
Reaction score
12
KUTOKANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MONDULI FISADI LOWASA AMEPATA KURA 32,362 NA MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA AMEPATA KURA BWANA MOLLEL WA CHADEMA AMEPATA KURA 23,584, HII INAMAANISHA KUWA UPINZANI ULIKUWA MKUBWA SANA HAPO MONDULI NA JIMBO HILI NI LA CHADEMA MWAKA 2015.:israel:
 
Mbona inaonekana jimbo lina wapiga kura wachache hivyo? umehakiki hizo namba???
 
huyu atakuwa muhuni tu! Hamna ukweli wowote hapa
 
hakikisha hizo namba, lowasa kashinda kwa asilimia kubwa sana.inaonekana Wa2 wake wanamkubali
 
... na ile slogan yake ya "Tumehuzunika pamoja, Tume....pamoja tuta....pamoja"
Wizi mtupu.
 
sasa kwa mujibu wa mleta hoja ....NANI KATOLEWA KAMASI MONDULI?
 

Nasikia chuo cha ualimu Monduli kilifungwa Ijumaa siku moja kabla ya kupiga kura ghafla,..eti chuo kinafanyiwa matengenezo..ila inasemekana hii ni baada ya jamaa kuona upepp unaweza kugeuka...
 
Mbona tume imesema kashinda kwa 85%?...............mbona kwa hesabu hiyo haifiki?
 
Ooops, tanzachick avatar yako yatamanisha, badilisha bibie
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
hmmm

Mashalhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mrembo!
 
Dada Tanzachick naomba e mail yako tafadhali
 
kuna wengine wanajia siasa na wengine wanajia mapenzi
 
hiyo miziwa yako vp tena?? hapa hatutaki ngono we dada. nakushauri utafute sehemu muafaka kwa hilo si kwenye kijiwe chetu tafadhali.
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
hmmm
Tanzachick nimeipenda avatar yako kama ni wewe original
 
http://jamiiforums.com/count/nsu/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/nsu/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
hmmm

mathiwa!
 
wamepinda hawa waambie mama mdogo naona wameyatamani maziwa hayo ya tanzachick
 
Anzeni kujipanga upya kwa 2015..... sio mbali!!!! Tatizo kubwa lilikuwa zimamoto......:doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…