Mombasa City Gallery

Dar mnarudia picha za BRT na pspf....the rest ni unplanned settlements.
Utamu wa BRT ni pale ninapofika CBD in 20minutes from 20km away.

Kambalanick, sema neno kuhusu BRT.

Halafu sooner tunaijenga phase III na IV
 
Tanzania ni bure kweli...hivi ata guts yakufananisha dar na nai mnaipata wapi.msa tu mmeonyeshwa za cbd mkaanza kurudia picha za dar.i wish nngekua photographer,ningewaanzia mtwapa,shanzu,bamburi yote iyo,hullar park,nyali,buxton ndio niinge cbd by the time naenda south coast na north coast mngehama tz mje kenya
 
Dar= Nairobi + Mombasa+Eldoret
 
Kwanza Hata Robo ya Dar bado
njooni
 
Mbona kawaida hiyo sana.Dareslum ni hiyo tuBrt na mijengo mitatu mirefu........ The rest is a sweaty dusty place
Ngonjera hizo
mnapost majengo mawili kila page
Toka mwanzo wa page mpaka sasa majengo hayohayo!!
Mnailinganisha dar na ujinga!!
 
Mimi naona miji ya Dar na Mombasa inatoshana kimaendeleo

Those two cities are just the same. The only difference is one is the largest city and the other the second largest. Perhaps let's now compare second vs second
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…