Mombasa City Gallery

......Wewe utakua wakaa mwamboni Tanga!, Nimejaribu kuelewa ulicho andika nimeambulia patupu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Chukua Nairobi+Mombasa+Kenya nzima
Hapa watatulia


We unavichekesho kweli, yaani unaona basi, sisi hatuoni basi, tunaona mji, basi yenyewe inapita kwenye mji ama kijiji??? We ona hayo majengo kandokando ya hii barabara hata, kisumu haiwezi kuwa hivyo!!!

Pili, huyo aliyejenga hii barabara, si angefanya vizuri iwe ya kuvutia, atie standard nzuri za modern designs!!!

















 

Labda niwaonyeshe vizuri BRT inapita wapi na muonekani sahihi
 

Hata hii tower ni noma sana,yaishinda ya kule Dar is slum! HOHOHO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…