mombasite gabriel
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 387
- 372
- Thread starter
-
- #761
Ahhhh! Safi sana yaani
Mbona nyuma ya hiyo hotel mavumbi
Mbona nyuma ya hiyo hotel mavumbi
mini stadium tayari. japo ni mwiba kwa serikali naipenda kazi yake gavana ALI HASSAN JOHO!!
Nimevutiwa mno kutembelea Mombasa. I think next time when I visit Kenya I'll go to Mombasa...
Jamaa wameokota picha mtandaoni ya daraja la Christchurch pale New Zealand halafu wanasema ni lao..!
Kenyans sina hamu nao kwa kutembelea nyota za wenzao tu hawajambo.