Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Mombasa kumechoka kishenzi
Mombasa kumechoka kishenzi
hii picha ni kali sana...mombasa is growing.dar naona ishatupwa sasa
mwanzo kwa infrastructure ndio dar imetupwa kabisa.....ngoja tu nlete pichahii picha ni kali sana...mombasa is growing.dar naona ishatupwa sasa
leta picha bro..mombasa my home city vile niko nairobi siku hizi.mwanzo kwa infrastructure ndio dar imetupwa kabisa.....ngoja tu nlete picha
mm naomba ipambane na zanzibar kama wewe mwanaume kweli tuanze moja baada ya mojaKwenye Hotel na resorts hapo mmechemsha, Mombasa ndio Kwao
Unawaloga kaka braza, slow down manze utafanya watokwe na povu lakini wacha kwanza nimwalike Major General Povu Geza Ulole sindano imuingie polepole hadi kieleweke.