mombasite gabriel
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 387
- 372
- Thread starter
-
- #801
Nakuona umekosa la kusema mkuu.kakojoe ulale .......usiku mwema!Momba kumechoka balaa kwa huku Tz labda tupalinganishe na Tarime.
Mombasa hapana tofauti na Tarime...pamechoka kichizi.Nakuona umekosa la kusema mkuu.kakojoe ulale .......usiku mwema!
Tarime ndio kwa nyanyako...Mombasa inazidi dar unatuambia tarimboMombasa hapana tofauti na Tarime...pamechoka kichizi.
Mombasa uilinganishe na dar!!! Mombasa hata Tanga tu haijapafikia labda utumie kigezo cha wingi wa mashoga.Tarime ndio kwa nyanyako...Mombasa inazidi dar unatuambia tarimbo
Dar vs Mombasa kaka kwani hujui hata the largest port huu ukanda iko hapa Mombasa. Accept and move on.Mombasa uilinganishe na dar!!! Mombasa hata Tanga tu haijapafikia labda utumie kigezo cha wingi wa mashoga.
Mombasa imechoka tu....inafanana na Tarime ya Tz.Dar vs Mombasa kaka kwani hujui hata the largest port huu ukanda iko hapa Mombasa. Accept and move on.
Port kubwa iko dar ama Mombasa?Mombasa imechoka tu....inafanana na Tarime ya Tz.
Port kubwa haiwezi ondoa mchoko wa mji....Mombasa pamechoka hadi nawasikitia mnaoishi huko.Port kubwa iko dar ama Mombasa?