LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Mimi kama Mkenya nitasema Mombasa.Mombasa Vs kampala hapa vipi?
Uliza Mombasa vs DarMombasa Vs kampala hapa vipi?
Mmmmh hapa noma ,,,Daresalaama kiboko yao bhna [emoji23][emoji23][emoji23]Uliza Mombasa vs Dar
Unachotaka Ni kubisha thu [emoji52]Second!! Mwaka gani huo!!
Huo ndio ukwel ,Na kinachofanya mji wa Tanga usiendelee Ni uvivu wa watu wa Tanga ,,kupenda Umwinyi kwa Sana ,,Kushiba na kucheza Bao na kunywa kahawa ,,wadhani mji utapata maendeleo kwa style gani ??Umejaribu kaka.
Uliza Mombasa vs Dar
. Not much really,, maybe the 3 towers by the bayNini Dar kitazidi Mombasa??? Nyerere bridge ama??
Lakini naskia kuna port inajengwa Tanga. Labda hilo litasaidia mji huo kukuaKitu kilichosaidia kukuwa kwa jiji La Msa ,,Moja wapo Ni kuwa na mchanganyiko wa MakabiLa ya watu tofauti ,,,Lakin Tizama Tanga ?? [emoji23][emoji23][emoji23] watu hawataki na mkoa wao ,,wanataka wawe wao Kama wao [emoji26][emoji26] alaf Tulivo hatupendi maendeleo Teeeeeeh hapo chacha [emoji46][emoji46] Kazi kukalia Majungu na kuombea Mabaya thu ,,,hayo ndo ya Jiji La Tanga ........lakin juu ya yote Tanga imebalikiwa kwa kiasi chake ,,kuna Amani ya kutosha pamoja Na hali ya hewa bomba kabisa ,,na watu wake wakaRimu na wacheshiiii
Siyo kubishaUnachotaka Ni kubisha thu [emoji52]
Aliekupa List iyo kakuongopea ,,,Eliza wanaojua nchi Ya Tanzania vizur ,,waambie wakutajie mikoa Mikoa mikubwa Tanzania Ni ipi watakuambiaSiyo kubisha
1, Dar
2,Mwanza
3,Arusha
4,Dodoma
5,Mbeya
6,Tanga
Ndugu Yangu Huwezi kuifananisha Mombasa na Dar !! Daresalaam imeendelea Kwa KiLa kitu Tofauti na mombasa ,,,,Then Daresalaam Fananisha kidogo na Nairobi tena hapo pia Haitoingia ,,,,Kwanza Mombasa hakuna mzunguko wa pesa ,,,Pesa Haionekani ,,Hela imekuwa ngumu Msa ,,,iLa Daresalaam Pesa nje nje Mzee ,,,,,,Hunidanganyi lolote juu Ya mombasa Tanga Daresalaaam ,,,,,izo sehem zote nimekaa na Nazijua Vizur maisha YakeNini Dar kitazidi Mombasa??? Nyerere bridge ama??
Daresalaam Ni mji wengine Kaka ,,,Huwezi kulinganisha na Mombasa ,,,watu watawacheka Sana ,,,. Not much really,, maybe the 3 towers by the bay
Nyinyi wote watanzania na hamuijui nchi yenu hata??Aliekupa List iyo kakuongopea ,,,Eliza wanaojua nchi Ya Tanzania vizur ,,waambie wakutajie mikoa Mikoa mikubwa Tanzania Ni ipi watakuambia
Tuje kwenye upumbavu!!
Nyie mnacho kibishania hapo kipi!!Aliekupa List iyo kakuongopea ,,,Eliza wanaojua nchi Ya Tanzania vizur ,,waambie wakutajie mikoa Mikoa mikubwa Tanzania Ni ipi watakuambia
Mombasa niupumbavu!!Tuje kwenye upumbavu!!
Nimpumbavu pekee atakaye linganisha Dar na upumbavu huo
Tena hapo kwenye 6Aliekupa List iyo kakuongopea ,,,Eliza wanaojua nchi Ya Tanzania vizur ,,waambie wakutajie mikoa Mikoa mikubwa Tanzania Ni ipi watakuambia