Sana tu nimetoa ya moyoni. Hili jambo mbona liko wazi tu hata wakenya wenyewe walikuwa wanalalamika mtaani eti Mombasa haipewi attention inayostahili. I talked to a few people and that was the sentiment among residents!
Ni kuchafu mno asee nimeenda Mombasa mara mbili once nikiwa mdogo school tour na saiv hakujabadilika kitu bado mishimo barabarani na takataka kila sehemu ni shida asee