Ligi inawachosha ikiwa mnashindwa ila ligi ni tamu ikiwa mnatushinda? Endelea kulia kwikwikwiUnachosema ni kweli kabisa ila unakosea kufanisha izo port 2. Sisi wa Tanzania tujua uwezo wetu na port zetu na tumeipongeza kwa sababu ni kweli iyo port imefikia icho kiwango na zikiongezeka 50,000 tonnes tutawapongeza tena kwa sababu tunadhamini icho kidogo sasa kama nyie huko Kunyaland hamna port ndogo zingine ambazo mta warecognize kwa yale madogo wanayofanya then hiyo ndo tofauti yetu. Fanyeni yenu bro msituletee ligi hizi zetu ndani zinatutosha. Keep fighting your own fights don't drag us in!!!!!!
Asante kwa maelezo mazurithe governmentβs future plan for Mtwara Port is to have four berths. βThe old berth measures 380m in length while its yard has the size of 40,000 square metres. Therefore the construction of the second berth with a length of 300m will give us a berth of 680m in length,β. The second yard, currently under construction, measures 79,000 square metres.
Upon completion of the project next March, Mtwara Port will increase its cargo handling capacity from 400,000 tonnes per annum to 1000,000 tonnes. Mtwara Port, which is described as a natural harbour, is a strategic port for the country given its geographical position.
Bandari hii ina faida mbeleni kwani itawavutia wafanyabiashara wa Zimbabwe,Zambia,Malawi na DRC.
Hii pia ndo bandari kuu kwa ajili ya uuzaji wa gesi asilia inyopatikana mkoa wa Mtwara.
Uchafu unaoletwa na bahari mnahesabu kuwa ni goods.Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
I never knew you're such a foolish bimboUchafu unaoletwa na bahari mnahesabu kuwa ni goods.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kisu kimegonga mfupa.I never knew you're such a foolish bimbo
Yaani in short kile mnacho jua ni Kiswahili tuuuSo what ? I dont get your point man, kwani Bandari ya Mtwara inapanuliwa ili ishindane na Mombasa au ikidhi mahitaji ya Tanzania? Sijaelewa kabisa mantiki ya Mada yako, ...
So what? Tafuta pesa ununue sukuma ukule we mzee wa KawangwareI have forgotten how many tonnes Dar port handles per year but what I know for a fact is that all three ports in Tanzania on the Indian ocean handle half the capacity of Mombasa port. All their three ports combined handle only half of what Mombasa port handles.
Nyie mnajua Kujenga slums tuYaani in short kile mnacho jua ni Kiswahili tuuu
Vipi kuhusu bagamoyo port? Inahandle ngapi?While Lamu port ina-handle zero cargo after 10 years of talking only without actions!
Inadhihirisha kwamba hata hiyo mahitaji ya Tanzania bado ni ndogo sana ukilinganisha na yetuSo what ? I dont get your point man, kwani Bandari ya Mtwara inapanuliwa ili ishindane na Mombasa au ikidhi mahitaji ya Tanzania? Sijaelewa kabisa mantiki ya Mada yako, ...
π€ π±π±π±Naona umefanya vyema kufanya comparison kati ya bandari ya mtwara na Mombasa , maana Mombasa ndio bandari kubwa huko kwenu Kenya , kwan mombasa haiwezi kufiki hata kidogo bandari ya dar es salaam
Yenu au Waingereza?Inadhihirisha kwamba hata hiyo mahitaji ya Tanzania bado ni ndogo sana ukilinganisha na yetu
Waingereza π π πYenu au Waingereza?
Hiyo dredging mngekuwa mumefanya zamani. Maana imezuia meli kubwa kutia nanga directly na ikabidi mizigo ziwe transferred into smaller vessels. Sasa hio dredging ikikamilika, hata bila upanuzi wa port, basi Mtwara port itahandle mizigo nyingi maana hakutakuwa tena na mambo ya kupakua mizigo mara mbili.After dredging work is completed, construction of 2 berths at Tanga port has began!
MY TAKE
All this is before construction of Uganda pipeline n crude oil terminal at Chongoleani starts
nani kakuambia wakati hiyo 100m iliyobaki itakuwa covered while building the 2 berths!Hiyo dredging mngekuwa mumefanya zamani. Maana imezuia meli kubwa kutia nanga directly na ikabidi mizigo ziwe transferred into smaller vessels. Sasa hio dredging ikikamilika, hata bila upanuzi wa port, basi Mtwara port itahandle mizigo nyingi maana hakutakuwa tena na mambo ya kupakua mizigo mara mbili.