hawana tofauti na wazenji hawa.
watu wa pwani wamefundishwa tabia mbaya ya kudeka deka na waarabu zaidi hata ya watoto.
kwa serikali ya kenya naamini itawa-pin down mmoja mmoja
sijui kama watafanikiwa kwenye hili swala laoLakini madai yao ni ya msingi...
Kwanza,
Wamekuja na sababu za kihistoria, mambo ya Sultanate sijui na nini,
Pili,
Wana sababu za kimazingira, wanadai kuwa Pwani ni masikini sana pamoja na utajiri wa rasilimali uliopo kwao.
Tatizo lipo kwenye namna ya harakati zao na jinsi wanavyoziendesha. Zimekaa kisharishari sana!
hawana tofauti na wazenji hawa.
watu wa pwani wamefundishwa tabia mbaya ya kudeka deka na waarabu zaidi hata ya watoto.
kwa serikali ya kenya naamini itawa-pin down mmoja mmoja
Nimefuatilia harakati za hawa jamaa kwa muda mrefu, pamoja na mkwara mzito wa serikali ya Kenya kulipiga marufuku kundi hili na kuliita 'kundi haramu',
bado jamaa hawarudi nyuma. Bado wanasisitiza kuwa Pwani ya Kenya si sehemu ya taifa la kenya.
Pamoja na viongozi wao kufikishwa mahakamani kwa makkosa ya uhaini, jamaa hawaja-give up.
Moja ya madai yao ni kukithiri kwa umasikini katika maeneo ya Pwani wakati kuna rasilimali za kutosha.
Sasa hivi harakati zao zimehamia mtandaoni.
Profile Pictures | Facebook
wanafata ramani flani ya zamani,ambapo wakiwezeshwa watakuja dai hadi mikoa ya pwani kama tanga,dsm na ukanda wote wa bahari ya hindi,si watu wazuri hawaKikubwa na kizuri zaidi wanadai nchi yao (Pwani ya Kenya including Mombasa) ni sehemu ya Zanzibar....:A S-coffee:
Kikubwa na kizuri zaidi wanadai nchi yao (Pwani ya Kenya including Mombasa) ni sehemu ya Zanzibar....:A S-coffee:
hata wakipewa hiyo republic they ll still be poor coz of their behaviour! Watajitenga after 5yrs watataka kuungana na kenya kwa kuwa umaskin utaongezeka na si kupungua!
hata wakipewa hiyo republic they ll still be poor coz of their behaviour! Watajitenga after 5yrs watataka kuungana na kenya kwa kuwa umaskin utaongezeka na si kupungua!
hawana tofauti na wazenji hawa.
watu wa pwani wamefundishwa tabia mbaya ya kudeka deka na waarabu zaidi hata ya watoto.
kwa serikali ya kenya naamini itawa-pin down mmoja mmoja
Nadhani maskini zaidi Kenya wako kule kaskazini ambako wanakula udongo na mizizi na mara nyingine kufa kwa njaa....Hao wa Mombasa sijawahi kusikia wakiombaomba maana wanabiashara zao za utalii ambao inachangia sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya.:A S-coffee: