Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hana hoja za msingi ... Aina Yao nadhani mnafahamu, walalamishi wa kutaka mikate wakati halimi ngano anacheza draft na karata huku akicheza taarabu.... Hoja si umaskini Ila Wana ajenda nyingine.... Pande za pwani zimevamiwa na kautundu ka kufadhiliwa na watu flani kutoka (...?..) , wakorofi sana hao ingawa panapowaka moto wao wanamwaga vifaa Vya maangamizi tu.. Mf. Mabomu as To SOMALIA
Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hana hoja za msingi ... Aina Yao nadhani mnafahamu, walalamishi wa kutaka mikate wakati halimi ngano anacheza draft na karata huku akicheza taarabu.... Hoja si umaskini Ila Wana ajenda nyingine.... Pande za pwani zimevamiwa na kautundu ka kufadhiliwa na watu flani kutoka (...?..) , wakorofi sana hao ingawa panapowaka moto wao wanamwaga vifaa Vya maangamizi tu.. Mf. Mabomu as To SOMALIA
Vipi Zanzibar wapo tayari kuungana na Mombasa baada ya kujitoa kwenye Muungano?Kikubwa na kizuri zaidi wanadai nchi yao (Pwani ya Kenya including Mombasa) ni sehemu ya Zanzibar....:A S-coffee:
labda pemba wanawezakujiunga nao,maana hata miaka ya nyuma walivyopigwa na askari,walikimbilia hukoVipi Zanzibar wapo tayari kuungana na Mombasa baada ya kujitoa kwenye Muungano?
Je wanaweza kwenda nyuma zaidi kabla ya waarabu kuja pwani ya A. mashariki?!
Heeheeeheeee! Mkuu, wengi wanataka kujificha nyuma ya historia wakati kiuhalisi hawataki kuisikia historia ya kweli! Kwa hiyo hata sisi tukitaka kurudi kwenye historia yetu ramani ya m-Dutch haitatufaa! Itabidi turudi nyuma zaidi na huko tutawakuta wanyarwanda na warundi wakiwa na tawala zao kamili! So ukiangalia haya mambo bila unafiki unabaki tu unawacheka watu wenye kusingizia historia.hawana guts hizo.
Mtu anapotafuta kitu ataangalia tu mahali panapompendelea.
Kwani utawala wa miaka 70+ wa Malkia wa Uingereza mipaka ilikuwaje.
Usiniambie na sisi tudai Rwanda na Burundi kwa ushahidi wa ramani ya DutchOstafrika...
Huhuhuhu!
Heeheeeheeee! Mkuu, wengi wanataka kujificha nyuma ya historia wakati kiuhalisi hawataki kuisikia historia ya kweli! Kwa hiyo hata sisi tukitaka kurudi kwenye historia yetu ramani ya m-Dutch haitatufaa! Itabidi turudi nyuma zaidi na huko tutawakuta wanyarwanda na warundi wakiwa na tawala zao kamili! So ukiangalia haya mambo bila unafiki unabaki tu unawacheka watu wenye kusingizia historia.
Chochote cha kujaribu kuwadhulumu wa Zanzibari wa bara wengi sana hatuafikiani nacho. Nna uhakika, na hapa hata mniite mdini mpaka mfyatuke, wanaounga dhulma kwa wazanzibari ni watu ambao si waislaam, sijakutana na Muislaam ambae anataka Wazanzibar wadhulumiwe.
Hali kadhalika wa Mombasa, zote hizi ni mbinu aina moja tu, kwani hiyo Mombasa yenyewe ilkuwa Zanzibar.
Nimefuatilia harakati za hawa jamaa kwa muda mrefu, pamoja na mkwara mzito wa serikali ya Kenya kulipiga marufuku kundi hili na kuliita 'kundi haramu',
bado jamaa hawarudi nyuma. Bado wanasisitiza kuwa Pwani ya Kenya si sehemu ya taifa la kenya.
Pamoja na viongozi wao kufikishwa mahakamani kwa makkosa ya uhaini, jamaa hawaja-give up.
Moja ya madai yao ni kukithiri kwa umasikini katika maeneo ya Pwani wakati kuna rasilimali za kutosha.
Sasa hivi harakati zao zimehamia mtandaoni.
Profile Pictures | Facebook
Tungekuwa na raisi mgomvi angeikomalia hii ili ile bandari irudi Tz ila itakula kwa wakenye big time nadhani inaweza tokea VITA.
Maana utashangaa nao malawi wataitaka Kyela yao!