Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Ushahidi ukitamalaki watafungwa miaka mingi sanaHawatofanywa chochote. Nina uhakika.
Watuhumiwa waliweka shehena hiyo chini ya mzigo wa Mbao.
Walifanikiwa kupita katika vizuizi kadhaa lakini mwishowe walikamatwa.
Sipati picha nini kitawakuta chini ya utawala huu wa hapa kazi tu.
Chanzo : Ni mimi mwenyewe kwa sababu nipo bandarini.
Utawala huu hakuna walokamatwa?kuna yule alopigwa gaini mil 138 hujamsikia?Sio kwa utawala huu mkuu.
Tembo wanakufa while KATIBU MKUU WA WIZARA NI MWANAJESHIKATIBU mkuu bado hajawekwa korokoroni?
Una akil sana we jamaatukio limetokea kenya hilo...mnalihusishaje na bongo..??..kick kwa lazima mazee....[emoji1] [emoji1]
Bavicha huwezi kuelewa habari za mapambano dhidi ya ufisadi na wizi wa Mali za umma na maliasili...mnalo zigo huko kwenu....sasa kama mbona unaandika ki UVCCM jipange leta habari.
swissme
hapo ni bandari ya Mombasa kenya hii leoHapa umenena vema.
Kama ni wa somebody muda si mrefu mamlaka ya bandari watakuja kukanusha taarifa "za uzushi" zinazosambaa mitandaoni kuhusiana na kukamatwa shehena ya meno ya tembo.
Usafirishaji meno ya tembo. Michael Kijangwa ahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela.<br /><br />Chanzo: Star tv habari.<br /><br />Hii ndo awamu ya 5Hamna kesi hapo zaidi ya usanii.