Mombasa to introduce Bus Rapid Transit to ease congestion

Safi
 
Mara nyingi huwa inaishia... TO BUILD... baada ya hapo kimyaaaa.. Ila all in all jambo jema.. miji yote mikubwa East Africa inahitaji a mass transit system Dar tumeanza na wengine mtakuja, jambo kubwa ni kujifunza..
 
Na tukisema Dar sluum vs Mombasa wengine wanatokwa povu.

Hehehe!! Hapo sasa ni sahihi, kupimanisha Dar na Mombasa lakini kuna wazimu walikua wanajaribu kujipma na Nairobi na wakasahau uchumi wa Nairobi unatoshana na wa Tanzania yote.
 
Mbona sasa Nairobi hawana hiyo BRT? Niliambiwa kuwa kuna mstari unachorwa ktk ya main road nikashangaa sana jiji kubwa namna hiyo wanafanya kitendo cha aibu ili hali uchumi wa ni mkubwa kama Tanzania yote
 
Uchumi wa kufikirika hakuna kinachoonekana on the ground zaidi ya njaa, ujambazi, slums, unemployment na corruption. Sifa za kijinga.
 
55% of tanzagiza wapo below poverty line yani 33 million Tanzanians out of 60 million na eti ni nchi ya maziwa na asali, really????
 
Uchumi wa kufikirika hakuna kinachoonekana on the ground zaidi ya njaa, ujambazi, slums, unemployment na corruption. Sifa za kijinga.

Kojoa Ulale. Mwenyewe hauna hata baiskeli ya mbao
 
Nawatakia mafanikio mema, lakini musiishie kuchora kama Nairobi.
 
Uchumi wa kufikirika hakuna kinachoonekana on the ground zaidi ya njaa, ujambazi, slums, unemployment na corruption. Sifa za kijinga.

wacha kujifurahisha wewe..ntajie maeneo ya hyo njaa unayojipiga nayo kifua
 
Uchumi wa kufikirika hakuna kinachoonekana on the ground zaidi ya njaa, ujambazi, slums, unemployment na corruption. Sifa za kijinga.

hta raila odinga,kalonzo,mudavadi na wetangula..wote hao pia hawana kazi...umefurahi sasa..
wajuwa watu wengine bana..kenya ni nchi ambayo wananchi hujitegemea..si km bongo bila serikali mijini hakutojengwa na raia wake kutoajiriwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…