Kuna harusi 2 tumealikwa moja Mombasa nyingine Tannga. Kwa Mombasa lakini nahitaji walio wenyeji au waliowahi kwenda kule wanipe sifa za kule na sababu zipi zinafanya wanawake wa kule kupenda jamaa wa Tanzania.
Pia mimi sili gomba je hiyo inaweza ikawa ni problems?