Moments zinazosababisha hofu kwa madereva wanaojifunza(Learners)

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Mwanzo mgumu but interesting fact ni kuwa Learners Tuna discipline ya juu na kufuata sheria za barabarani tena kama sisi tuliojifunza kuendesha gari tukiwa over 30 years old tuko extra care Kila move ipo calculated. Hizi ni baadhi ya moments za hofu tulizonazo.

images.png

1. Kuendesha gari kwenye barabara ambayo ipo bize sana ni zaidi ya nightmare inapunguza confidence sehemu za masoko mfano kariakoo huwezi kumpeleka kizembe.

images (11).jpeg

2. Daladala na magari makubwa kwanza Wana respect na kuadmire madereva wa magari makubwa na reason inakuwa inawezekenaje mtu kuendesha gari ndefu comfortably wakati yeye gari ya cbm 10 kama ist inamtoa kijasho.

images (9).jpeg

3. Manual cars. Learners prayer ni kusitishwa uzalishwaji wa gari manual akiona kirungu anapoteza confidence lakini akishakuwa mzoefu anaanza kudiss automatic transmission.

images (10).jpeg

4. Kupaki gari kwa kurudi nyuma kwenye parking ambazo Kuna gari nyingi ambazo zimepangana bad luck ukute yeye kaachiwa katikati kulia na kushoto Kuna gari.
images (13).jpeg

5. Kwenye mataa ana prefer kutokuwa gari ya kwanza awe nyuma ila gari ya mbele iwe guidance yake pamoja na ngao yake.

6. Wanapenda kuendesha wakiwa pekee yao ndani ya gari kama abiria basi awepo asiyejua kuendesha kama anajua basi awe anamudu yote ni kuepuka kukoselewa.

7. Ajali. mbaya zaidi ukute sio mmiliki wa gari akili yote inawaza nafikaje salama kwake hata pancha anaamini ni ajali.

Kwa ulimwengu wa sasa kujua kuendesha gari ni skills ambayo Kila mtanzania anapaswa kuwa nayo ili kuwawezesha watoto wa kimasikini kama mimi ambaye ukoo mzima hakuna anayemiliki gari basi driving iwe kama somo katika shule za sekondari.
 
Mwanzo mgumu but interesting fact ni kuwa Learners Tuna discipline ya juu na kufuata sheria za barabarani tena kama sisi tuliojifunza kuendesha gari tukiwa over 30 years old tuko extra care Kila move ipo calculated. Hizi ni baadhi ya moments za hofu tulizonazo.

View attachment 3165438

1. Kuendesha gari kwenye barabara ambayo ipo bize sana ni zaidi ya nightmare inapunguza confidence sehemu za masoko mfano kariakoo huwezi kumpeleka kizembe.

View attachment 3165439

2. Daladala na magari makubwa kwanza Wana respect na kuadmire madereva wa magari makubwa na reason inakuwa inawezekenaje mtu kuendesha gari ndefu comfortably wakati yeye gari ya cbm 10 kama ist inamtoa kijasho.

View attachment 3165440

3. Manual cars. Learners prayer ni kusitishwa uzalishwaji wa gari manual akiona kirungu anapoteza confidence lakini akishakuwa mzoefu anaanza kudiss automatic transmission.

View attachment 3165441

4. Kupaki gari kwa kurudi nyuma kwenye parking ambazo Kuna gari nyingi ambazo zimepangana bad luck ukute yeye kaachiwa katikati kulia na kushoto Kuna gari.View attachment 3165447

5. Kwenye mataa ana prefer kutokuwa gari ya kwanza awe nyuma ila gari ya mbele iwe guidance yake pamoja na ngao yake.

6. Wanapenda kuendesha wakiwa pekee yao ndani ya gari kama abiria basi awepo asiyejua kuendesha kama anajua basi awe anamudu yote ni kuepuka kukoselewa.

7. Ajali. mbaya zaidi ukute sio mmiliki wa gari akili yote inawaza nafikaje salama kwake hata pancha anaamini ni ajali.

Kwa ulimwengu wa sasa kujua kuendesha gari ni skills ambayo Kila mtanzania anapaswa kuwa nayo ili kuwawezesha watoto wa kimasikini kama mimi ambaye ukoo mzima hakuna anayemiliki gari basi driving iwe kama somo katika shule za sekondari.
Hivi kwanini wanawake wengi wanaojifunza kuendesha gari wana style yao ya kukata kona ya ajabu badala ya kuzungusha mikono nyuzi 360 wao sijui wanakuwa wanafanyaje hata nashindwa kueleza.
Kama kuna jambo lilinitesa ni kupiga reverse mwendo mrefu nikiwa nimenyooka.
Ila sasa nilipojua na nikajua kutumia side view mirrors, siwezi kabisa piga reverse kwa kugeuza shingo kutazama nyuma maana nitagonga. Yani naweza rudi reverse speed kama vile niko kwenye fast and furious na nikachomeka gari katikati ya gari mbili zilizokaribiana.
 
Back
Top Bottom