Monalisa Anasa ujauzito

Monalisa Anasa ujauzito

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.

Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
 
1473962916678.jpg
 
Ana watoto wangapi?,nadhani sio chini ya watatu,kila mtoto na baba yake...
 
Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.

Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kazi kweli kweli
 
Tatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hao wang'oa meno naona waliishia kipindi kileeee cha mgomo wa kina Uli..... k..
 
Ametuthibitishia pasipo shaka kuwa alifanya ngono!!!! Iwe authential au la siyo jukumu la jamii kujua.
 
Amesha twambia midomo kama vuzi la kikoloni. Ila kwakweli nami nataka kujua baba wa mtoto bora mdomo uwe ka vuzi ila ni mjue
 
Attachments

  • 1474013254843.jpg
    1474013254843.jpg
    68.9 KB · Views: 136
Back
Top Bottom