Aongeze ulinziMonalisa hapendi kujikopesha kutoka mfuko wake wa kulia kwenda wa kushoto.
Watu wapo kwenye misheni halafu yeye anataka kuchomesha dili!?Ni vema akatembea kwa tahadhari huku ameishika shingo yake.Aongeze ulinzi
ACT Wazalendo Abdul NondoAkizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)
Monalisa ningempa neno moja kwa lugha ya kimakua..."Gutro ga-sepeto"..(mbwa kayakalia majani hayali lakini anambwekea ng'ombe ili kumtisha na kumkataza asiyale majani hayo).Kwa faida gani wakati baadaye atapewa maziwa anywe?Familia ya kihindi hiyo ni ndugu kwa ndugu ukoo usiende mbali