Monalisa akae kwa kitulia. Ameshamaliza kazi yake aliyopewa kwa ujira mdogo. Ale pesa yake hiyo taratibu aweze kumaliza salama siku zake za kuishi hapa duniani.
Mbona wengi wanavaa za JK Nyerere au yeye hakuwahi kuwa M/K wa CCM?? Tuwaache waliolala walale zao. Mungu atajuana nao huko waliko.