Monalisa: Taratibu tunatoboa kimataifa

Monalisa: Taratibu tunatoboa kimataifa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
attachment.php

Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka Marekani, Daddy's Wedding itakayotoka Februari 14.


Monalisa
Monalisa amesema kuwa, mbali na kazi hii, ana project nyingine na timu kutoka UK kati ya nyingine ambazo zinaonesha kuwa taratibu sanaa hii imeanza kuvuka mipaka kuelekea kule kunakotakikana,.


Vilevile Star huyu wa filamu akaelezea matamanio yake ya kuona siku moja soko la filamu Afrika linaungana na kuwa kitu kimoja, na wasanii wote wa bara hili kuungana na kufanya kazi kwa ushirikiano.

Chanzo:EATV
 

Attachments

  • monalisa.jpg
    monalisa.jpg
    53 KB · Views: 1,218
safi sana, huyu ndiye monalisa tunayemjua sasa, all the best
 
Aliigiza filamu ya Kwanza Tanzania...na sasa anaenda kuwa wa kwanza kuigiza na waamerika....hehehehe
 
naona kaamua na ataweza, wakati wengine wanategea team kuishi yeye kachagua kupiga kazi aishi goo girl gooooo!
 
na kwa upande wa kingereza huyu si anaweza weza kuliko sisi?? coz yawezekana changamoto kwa wengine ni kupasua yai
 
Back
Top Bottom