Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mzigua90 babe I love you. Njoo whatsapp unipe ubuyu wa jana ulinipita
ohoo tutaendeleza kumchambaMmbeya kama nini. Akisutwa hatumsaidii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Demiss kama CCM wii. Forward ever backward never.Yani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani?
Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana.
Wa kipindi kile upi huo? Shida sasa ingine ya watu humu. Ukiandika tu kitu kuhusu mtu fulani unaonekana unataka wagombane watu.nafikir hakujua maana hakuona ule uzi wa kipindi kile mana na wenyew ulikuwa fireeee watu wale wale jana bifu ndo likaamshwa upyaa
ule wa fisadi kuu alivyoletaga ile pichaWa kipindi kile upi huo? Shida sasa ingine ya watu humu. Ukiandika tu kitu kuhusu mtu fulani unaonekana unataka wagombane watu.
Alinitongoza nikakataa akaniomba tuonane nikakataaa mm wala sikuendelea kumtafuta ila sasa kaamua kufungua id 10 kunikomesha loooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Demiss kama CCM wii. Forward ever backward never.
Huyo mtu kama ni mwanaume ana hasira na wewe labda ulimkataa au ulimiacha. Kama ni mwanamke anakuonea wivu
MmmmmhhSimu yake imeharibika, ninayo hapa nampelekea kwa fundi.
Sasa wewe jifanye kutuma tuma meseji tu.
Original hata mtu akikuponda ni sawa na kutwanga maji kwenye kinuMrs jr uyoo
Kumbe jambo dogo hivyo. Mwache mwenzio atoe hasira zake. Kama alikupenda kweli Ukamzingua unadhani ataweza kufuta maumivu haraka? Anavyokutukana ndo anapunguza hasira. Ipo siku ataacha.Alinitongoza nikakataa akaniomba tuonane nikakataaa mm wala sikuendelea kumtafuta ila sasa kaamua kufungua id 10 kunikomesha loooh
Angenikomesha kabla sijapata bwana saivi nina mme sina pressure wala nn
Ninachomwambia anafuta vidonda vya tumbo vya nn?
Watu tunaongea na wenye mbwa siyo mbwa.
mwanafunzi wangu huyo anajua kwa kunipata ntamfundisha au jmosi mkikutana umfundishe[emoji23]Wengine anao namba zake acha kumbania mwenzio embu mfundishe mscheeeww
nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisiniNaomba ubuyu basiii maana jipya hili. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mambo ya Giresiiiinilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
Mmmmmhh