Monde arabe: Noma sana!

Monde arabe: Noma sana!

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
monde arabe comments zako zimepotea siku kadhaa hivi kulikoni upo salama!? Au upo Dodoma?
monde arabe kila mada kila jukwaa liwe dini,siasa,mahusiano,michezo atakapopita comments zake ni "Unique" hazibadiliki kirahisi.
Ninachomsifu hawezi kuandika noma sana bila alama ya kushangaa
Noma sana!
Huwa nikiona amechangia nacheka 😂ile avatar yake ule mwanya! Na inaonekana mpaka andike ameguswa kwelikweli.
 
Mapenzi mubashara. Tatizo la mapenzi, halihitaji hadi ifike 14/02 Valentines day kama X mas, ili itokee ni lazima ifike 25/12
 
Back
Top Bottom