Mondray

nimjuayeee mimi au mwinginee?
 
Duuuh!! Ndio ulisusa mazima!! Wenzenu tunadenguaga kidogo huku kamoyo kanadunda "sijui atahairi" kwahiyo muwage na subra kidogo!!
Siyo kama nilisusa bali niliingia mkenge kwa kuamini kweli ana BF.
Kabla ya kumtongoza yule msichana, nilikuwa nakubaliwa chap on the spot.Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na rejection, sikujua kama kuna wanawake wanasema hapana lakini hisia zao zinasema ndio.Ukiongeza na kutokujua body language ambazo nikizitathimini kwa sasa ndipo nagundua kuwa alisema ndio, mimi ndio nika-give up.
 
Haya bwana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akitoka mondray sijui ataandikiwa nani!!!

Mie mzima mpenzi.
mzima dear [emoji23][emoji23][emoji23] sisi kazi yetu kusoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…