namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Inapatikana nchi nzima, na mawakala wake ni bank zote na ofisi za posta.Kwa wadau wanaolewa mambo ya mitandao ya huduma za pesa.Naombeni mnijulishe huduma hii ya money gram nchini inapatikana na inafanyaje kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh mkuu nchi nzima?? Watu wa tabora na kigoma wanaipata wapi?Inapatikana nchi nzima mkuu
Samahani mkuu sio kila benk wanatoa hiyo huduma labda kama wameanza hivi karibu, Exim, Nmb, Crdb hawatoi tulihangaika sana na mwenzangu, ila Equity benk ni uhakika atafute mahali inapatikana.Inapatikana nchi nzima, na mawakala wake ni bank zote na ofisi za posta.
Ahsante kwa kunijuza mkuuSamahani mkuu sio kila benk wanatoa hiyo huduma labda kama wameanza hivi karibu, Exim, Nmb, Crdb hawatoi tulihangaika sana na mwenzangu, ila Equity benk ni uhakika atafute mahali inapatikana.