Money Heist - Season 5 imetoka

Money Heist - Season 5 imetoka

1630660463543.png
 
Lugha ni kingereza au unaangalia subtitle?
Kwangu mimi money heist inakua na flavor ikiwa na audio ya kispanish kuliko audio ya english.... yes ina subtitle tena ni multiple unachagua unayoitaka,
Arabic, Czech, Danish, German, Greek, English, English, Spanish, Finnish, French, Hebrew, Croatian, Hungarian, Indonesian, Italian, Japanese, Korean, Malay, Norwegian, Dutch, Polish, Portuguese, Portuguese, Romanian, Russian, Swedish, Thai, Turkish, Vietnamese, Chinese
 
Season za nyuma nilipata ya kingereza kupitia telegram saivi naweza kupata wapi
 
unaweza kupata kupitia utorrent ila mpaka siku kadhaa zipite watakua washaeka dual audio
 
Back
Top Bottom