Sure, kwanza hata kufa Tokyo it seems haikuwa kwenye plan, hakuna logic ya kumvalisha mabomu then unataka kumuokoa then anakufa. In short wamechemka hii part 5.Unajua hii series Tokyo ndo alikuwa anafanya narration ,
Kuna mda anasema "" tulijua tuko vita lakni atukujua vita inafanana hivi""
Yaani ndani plan A kuna mambo mengi yalijitokeza lakin waliona kam bado itawork out kuja kustka washachelewa
The day I killed Gandia all the odds were against me.Sure, kwanza hata kufa Tokyo it seems haikuwa kwenye plan, hakuna logic ya kumvalisha mabomu then unataka kumuokoa then anakufa. In short wamechemka hii part 5.
Usishangae alicia anachukua nafasi ya tokyo december[emoji1][emoji1][emoji1]Nimemaliza Season 5 yote, ila Professor naona kaishiwa, pia Tokyo kufa kumeniuma. Ila msisimko umepungua. Sesson 1-3 ndiyo bomba
Je watakuwa na mpya gani? Maana wameparanganyikaUsishangae alicia anachukua nafasi ya tokyo december[emoji1][emoji1][emoji1]
Inawezekana kwenye ndoto mkuu.The day I killed Gandia all the odds were against me.
"Those five bullet wounds reminded me of my samurai."
Hii kauli hawezi kuongea MTU aliyekufa ngoja tusubir December so mbali
Tokyo amekufa hii ni behind the scene imetoka leo imeonyesha baada ya kushoot ile scene anajilipua na gandia akawaaga wenzake huku analia kwamba hatokuwepo tena kwenye heistThe day I killed Gandia all the odds were against me.
"Those five bullet wounds reminded me of my samurai."
Hii kauli hawezi kuongea MTU aliyekufa ngoja tusubir December so mbali
Ipo mzee😅Wakuu series yetu pendwa season ya 5 volume one imetoka,
Wenye Netflix wanafaidi, hivi hakuna njia ya kimagumashi ya kuipakua for free
Mkuu nilishaiona tayari labda unipe link ya seasoj 10 movie inaitwa 24 HRS ya jack bauerIpo mzee😅
Sidhani kama ni ndoto,ila story yake inapoteza mvuto.Hii season ya 5 finishing yake haimake sense, isije kuwa movie nzima ilikuwa ni ndoto Tokyo anasimulia alivyoota