Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Nov 14, 2024 #1 Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike kwa mkupuo
Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike kwa mkupuo
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Nov 14, 2024 #2 Ndo nani?
B Boutafrica JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 974 Reaction score 2,106 Nov 14, 2024 #3 Yan jamaa kaivaa mil 33 kasoro! Watu wanautani!
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Nov 14, 2024 #4 Hizi brand kama chanel, Gucci,Luis Vuitton wanawapiga sana wajinga yani... Sasa kijibegi milioni 30 kweli?
Hizi brand kama chanel, Gucci,Luis Vuitton wanawapiga sana wajinga yani... Sasa kijibegi milioni 30 kweli?
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Nov 14, 2024 #5 Warafansa ndio mambo yao, acha wajimwage.